Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) ni uwanja wa ndege wa kimataifa unaopatikana katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania na ndio lango kuu la utalii nchini Tanzania.

swKiswahili