Kumfanya kila msafiri kuwa msafiri mwenye furaha, Tiketi.com inakusaidia uokoe muda na upunguze gharama za safari - linganisha bei na pata ratiba za safari mtandaoni, kata tiketi za ndege na mabasi (zinakuja hivi karibuni) bei nafuu, soma miongozo ya kusafiri na nunua vifurushi vya vivutio na ziara mtandaoni.

Tiketi.com inakusaidia kukata tiketi za ndege bei nafuu, kusoma miongozo ya kusafiri na kununua vifurushi vya vivutio na ziara na kukata tiketi za mabasi mtandaoni wakati wowote, mahali popote - ukiwa safarini, ofisini au nyumbani - huitaji kwenda kwenye ofisi za makampuni ya mabasi au ndege kukata tiketi yako.
Tiketi.com: kuhakikisha kila msafiri ni msafiri mwenye furaha.

Ikiwa unataka kuwasiliana nasi kuhusu ofa, tafadhali tumia fomu ya mawasiliano.

 

 

 

 

swKiswahili